ANDAA SOP/ MOTIVATION LETTER INAYOENDANA NA ULIYOYAFANYA, USIANDIKE TU ILIMRADI NA WEWE UMEANDIKA
Mwanawane unapoamua kupambania ndoto zako usikae kinyonge, unatakiwa ujinadi ni vitu gani umefanya, changamoto gani umetatua, ni vitu gani unatamani ukajifunze ili upate ujuzi, utaalamu nchi ambazo zimeendelea ili ukirudi nchini kwako jamii yako, taasisi au sehemu unayofanya kazi itanufaika, mambo mazuri na uelewa zaidi bonyeza link usikilize video mpaka mwisho. Imani yangu ukimaliza kuna…
