CommonWealth Shared Scholarship 2028-2029
Unayehitaji kusoma Masters nchini Uk kwa ufadhili wa scholarship ya Commonwealth, jitahidi kusoma maelekezo na sifa zinazofanya mtu apate hii scholarship kisha fanya maamuzi kama inakufaa omba, kitu cha muhimu ni kufuata maelekezo waliyoyatoa ili usipoteze muda. Kwa maelezo zaidi bonyeza lik husika hapa chini itakupeleka kwa site ya Common wealth.
https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-shared-scholarships-applications/
Swedish Institute Scholarship for Global Professional
Kama na wewe ni miongoni mwa wanaotafuta scholarship za kusoma nchi za ulaya, basi hii Swedish Institute Scholarship ipo kwa ajili yako, unachotakiwa kukifanya ni kuangalia kama kozi unayohitaji kwenda kusoma kwa ajili ya masters inasapotiwa au laa, hakikisha unaangalia vyuo vya kuomba ndani ya website yao husika, epuka kusikiliza stori ya vyuo bila kuingia kwa website na kujihakikishia chuo na course vinasapotiwa na scholarship. Kwa maelezo zaidi usisite kuingia kwa website ya Swedish Istitute Scholarship kwa ajili ya kusoma maelekezo na vigezo ili usipoteze muda.
https://si.se/en/apply/scholarships/swedish-institute-scholarships-for-global-professionals
